Kuwa Ndani Ya Kristo

Sura Ya Kumi Na Tisa

 

Katika nyaraka za Agano Jipya, tunakutana na maneno “ndani ya Kristo”,

“pamoja na Kristo,” “kwa njia ya Kristo,” na “ndani Yake.” Mara nyingi, maneno hayo yanadhihirisha manufaa fulani ambayo sisi kama waamini tunayo kwa sababu ya mambo Yesu aliyotutendea. Tunapojiona kama Mungu anavyotuona – “ndani ya Kristo” – itatusaidia kuishi kama Mungu anavyotaka. Mtumishi anayefanya wengine kuwa wanafunzi atataka kuwafundisha wanafunzi wake nafasi yao katika Kristo, ili kuwasaidia wakue na kukomaa kiroho.

Kwanza: Nini maana ya kuwa “ndani ya Kristo”?

Tunapozaliwa mara ya pili, tunaingizwa katika mwili wa Kristo na kuwa wamoja Naye kiroho. Hebu tutazame mistari kadha katika nyaraka za Agano Jipya yenye kuthibitisha hicho.

Vivyo hivyo na sisi tulio wengi tu mwili mmoja katika Kristo (Warumi 12:5. Maneno mepesi kukazia).

Lakini yeye aliyeungwa na Bwana ni roho moja naye (1Wakor. 6:17. Maneno mepesi kukazia).

Basi ninyi mmekuwa mwili wa Kristo, na viungokila mmoja peke yake (1Wakor. 12:27. Maneno mepesi kukazia).

Sisi tuliomwamini Bwana Yesu Kristo tunapaswa kujiona kwamba tumeunganishwa Naye, ni viungo vya mwili Wake na ni wamoja na Yeye katika roho. Yeye yu ndani yetu, nasi tu ndani Yake.

Angalia mstari huu unaotuambia baadhi ya manufaa tuliyo nayo kwa sababu ya kuwa ndani ya Kristo.

Bali kwa yeye ninyi mmepata kuwa katika Kristo Yesu, aliyefanywa kwetu hekima itokayo kwa Mungu, na haki, na utakatifu, na ukombozi (1Wakor. 1:30. Maneno mepesi kukazia).

Katika Kristo, tumefanywa kuwa wenye haki (yaani, tumehesabiwa “hatua hatia” na sasa tunatenda yaliyo sawa), tumetakaswa (yaani, tumetengwa kwa ajili ya Mungu kututumia katika kazi takatifu), na tumekombolewa (yaani, tumenunuliwa kutoka utumwani). Si kwamba tunangojea kufanywa wenye haki, au kutakaswa au kukombolewa wakati fulani katika siku za baadaye. Ni kwamba sasa hivi sisi tunazo baraka hizo zote, kwa kuwa tuko ndani ya Kristo.

Katika Kristo, dhambi zetu za zamani zimesamehewa zote.

Naye alituokoa katika nguvu za giza, akatuhamisha na kutuingiza katika ufalme wa Mwana wa pendo lake; ambaye katika yeye tuna ukombozi, yaani msamaha wa dhambi (Wakolosai 1:13, 14. Maneno mepesi kukazia).

Ona kwamba mstari huu unatuambia pia kwamba hatuko tena katika ufalme wa Shetani – utawala wa giza – bali sasa tuko katika ufalme wa nuru, ufalme wa Yesu.

Hata imekuwa, mtu akiwa ndani ya Kristo amekuwa kiumbe kipya; ya kale yamepita, tazama, yamekuwa mapya (2Wakor. 5:17. Maneno mepesi kukazia).

Msifu Mungu kwamba, kama wewe ni mfuasi wa Kristo, ni “kiumbe kipya” sawa na buu aliyebadilika na kuwa kipepeo! Roho yako imepewa asili mpya. Hapo kwanza ulikuwa na asili ya Shetani ya ubinafsi ndani ya roho yako, lakini sasa maisha yako yote ya kale “yamepita”.

Baraka Zaidi Katika Kristo

Kwa kuwa ninyi nyote mmekuwa wana wa Mungu kwa njia ya imani katika Kristo Yesu (Wagalatia 3:26. Maneno mepesi kukazia).

Ni raha sana kujua kwamba sisi ni watoto wa Mungu mwenyewe, tuliozaliwa kwa Roho Wake! Tunapomwendea katika maombi, tunamwendea – si kama Mungu wetu tu – bali pia kama Baba yetu!

Maana tu kazi Yake, tuliumbwa katika Kristo Yesu tutende matendo mema, ambayo tokea awali Mungu aliyatengeneza ili tuenende nayo (Waefeso 2:10. Maneno mepesi kukazia).

Mungu hakutuumba tu. Ametuumba upya katika Kristo. Tena, Mungu ametupangia huduma ya kutimiza kila mmoja wetu, “matendo mema … tokea awali.” Kila mmoja wetu ana karima yake binafsi, iliyoandaliwa na Mungu Mwenyewe!

Yeye asiyejua dhambi alimfanya kuwa dhambi kwa ajili yetu, ili sisi tupate kuwa haki ya Mungu katika yeye (2Wakor. 5:21. Maneno mepesi kukazia).

Haki tuliyo nayo kwa sababu tuko ndani ya Kristo ni haki ya Mungu Mwenyewe. Hii ni kwa sababu Mungu amekaa ndani yetu na kutubadilisha kwa Roho Mtakatifu. Ukweli ni kwamba matendo yetu mema ni yale ya Mungu, kupitia kwetu.

Lakini katika mambo hayo yote tunashinda na zaidi ya kushinda kwa Yeye aliyetupenda (Warumi 8:37. Maneno mepesi kukazia).

Hayo “mambo yote” ambayo Paulo anasema, ni yapi? Mistari katika Warumi inayotangulia mstari huu inadhihirisha kwamba ni yale majaribu na kuteseka ambako waamini hupata. Hata katika kufa kwa ajili ya imani, bado sisi ni washindi, ingawa dunia inaweza kuhesabu kwamba tumeshindwa. Tunashinda na zaidi ya kushinda kwa Kristo kwa sababu, tunapokufa, tunakwenda mbinguni!

Nayaweza mambo yote katika Yeye anitiaye nguvu (Wafilipi 4:13. Maneno mepesi kukazia).

Kwa njia ya Kristo, hakuna kisichowezekana kwetu kwa sababu Mungu anatuwezesha na kututia nguvu. Tunaweza kufanikisha kazi yoyote atakayotupa.

Na Mungu wangu atawajazeni kila mnachokihitaji kwa kadiri ya utajiri wake katika utukufu, ndani ya Kristo Yesu (Wafilipi 4:19. Maneno mepesi kukazia).

Tutazamie kwamba Mungu atakutana na mahitaji yetu halisi, kama tutatafuta kwanza ufalme Wake. Bwana ndiye mchungaji wetu, naye huwatunza kondoo Wake!

Kukubaliana Na Anachosema Mungu

Kwa bahati mbaya, baadhi yetu hatuamini kile ambacho Neno la Mungu linasema juu yetu. Hayo huonekana kwa maneno kinyume tunayotamka, yenye kupingana na kinachosemwa na Biblia. Badala ya kusema, “Nayaweza mambo yote katika Kristo anitiaye nguvu,” sisi husema, “Sidhani kama nitaweza.”

Maneno kama hayo ndiyo Biblia inayaita “taarifa mbaya” kwa sababu hayakubaliani na kile anachosema Mungu (ona Hesabu 13:32). Lakini, kama mioyo yetu imejaa Neno la Mungu, tutajaa imani, na kuamini na kusema yale tu yanayokubaliana na Maandiko.

Matamko Machache Ya Biblia

Tunapaswa kuamini na kusema kwamba sisi tuko kama Mungu anavyosema.

Tunapaswa kuamini na kusema kwamba tunaweza kufanya yale Mungu anayosema tunaweza kufanya.

Tunapaswa kuamini na kusema kwamba Mungu yuko kama anavyosema.

Tunapaswa kuamini na kusema kwamba Mungu atafanya alichosema atafanya.

Yafuatayo ni matamko ya Maandiko ambayo waamini wote wanaweza kuyakiri kwa ujasiri kabisa. Si yote yanayohusu “kuwa ndani ya Kristo”, lakini yote ni kweli kulingana na Maandiko.

Nimekombolewa, nimetakaswa na kuhesabiwa haki katika Kristo (ona 1Wakor. 1:30).

Nimehamishwa kutoka ufalme wa giza na kuingizwa katika ufalme wa Mwan wa Mungu, yaani ufalme wa nuru (ona Wakolosai 1:13).

Dhambi zangu zote zimesamehewa katika Kristo (ona Waefeso 1:7).

Mimi ni kiumbe kipya ndani ya Kristo – maisha yangu ya kale yamepita (2Wakor. 5:17).

Mungu ameniandalia kabla matendo mema, ili nienende ndani yake (ona Waefeso 2:10).

Nimefanyika haki ya Mungu katika Kristo (ona 2Wakor. 5:21).

Mimi ni mshindi katika mambo yote kwa njia ya Kristo aliyenipenda (ona Warumi 8:37).

Naweza kufanya mambo yote kwa njia ya Kristo anitiaye nguvu (ona Wafilipi 4:13).

Mungu wangu hunipa mahitaji yangu yote kulingana na utajiri wake katika utukufu, katika Kristo (ona Wafilipi 4:19).

Nimeitwa kuwa mtakatifu (ona 1Wakor. 1:2).

Mimi ni mtoto wa Mungu (ona Yohana 1:12; 1Yohana 3:1, 2).

Mwili wangu ni hekalu la Roho Mtakatifu (ona 1Wakor. 6:19).

Si mimi ninayeishi tena, bali Kristo ndani yangu (ona Wagalatia 2:20).

Nimekombolewa kutoka mamlaka ya Shetani (ona Matendo 26:18).

Upendo wa Mungu umemiminwa moyoni mwangu na Roho Mtakatifu (ona Warumi 5:5).

Aliye ndani yangu ni mkuu kuliko (Shetani) aliyeko duniani (ona 1Yohana 4:4).

Nimebarikiwa kwa baraka zote za kiroho na kuketishwa mbinguni katika Kristo (ona Waefeso 1:3).

Nimeketi pamoja na Kristo mbinguni, juu sana kuliko majeshi yote ya kiroho ya Shetani (ona Waefeso 2:4-6).

Kwa kuwa nampenda Mungu na nimeitwa kulingana na kusudi Lake, anafanya mambo yote kuwa mema kwa ajili yangu (ona Warumi 8:28).

Kama Mungu yuko upande wangu, nani anayeweza kuwa kinyume changu? (ona Warumi 8:31).

Hakuna kinachoweza kunitenga na upendo wa Kristo (ona Warumi 8:35-39).

Yote yanawezekana kwangu kwa sababu mimi ni mwamini (ona Marko 9:23).

Mimi ni kuhani wa Mungu (ona Ufunuo 1:6).

Kwa kuwa ni mtoto Wake, Mungu ananiongoza kwa Roho Wake (ona Warumi 8:14).

Ninapoendelea kumfuata Bwana, njia ya maishayangu inazidi kung’aa (ona Mithali 4:18).

Mungu amenipa karama za pekee kutumia kwa ajili ya huduma Yake (ona 1Petro 4:10, 11).

Naweza kutoa pepo na kuweka mikono yangu juu ya wagonjwa, wapone (ona Marko 16:17, 18).

Kila mara, Mungu huniongoza kushinda katika Kristo (ona 2Wakor. 2:14).

Mimi ni balozi wa Kristo (ona 2Wakor. 5:20).

Nina uzima wa milele (ona Yohana 3:16).

Kila niombacho, nikiamini, ninakipokea (ona Mathayo 21:22).

Kwa kupigwa kwa Yesu nimeponywa (ona 1Petro 2:24).

Mimi ni chumvi ya dunia na nuru ya ulimwengu (ona Mathayo 5:13, 14).

Mimi ni mrithi wa Mungu, na mrithi pamoja na Yesu Kristo (ona Warumi 8:17).

Mimi ni mteule, ni ukuhani wa kifalme, ni taifa takatifu, ni milki ya Mungu (ona 1Petro 2:9).

Mimi ni kiungo cha mwili wa kristo (ona 1Wakor. 12:27).

Bwana ni mchungaji wangu, sitahitaji kitu (ona Zaburi 23:1).

Bwana ndiye mlinzi wa maisha yangu – nimwogope nani? (ona Zaburi 27:1).

Mungu atanishibisha maisha marefu (ona Zaburi 91:16).

Kristo alichukua magonjwa yangu na maumivu yangu (ona Isaya 53:4, 5).

Bwana ndiye anisaidiaye – sitaogopa (ona Waebrania 13:6).

Namtwika Bwana fadhaa zangu zote, maana Yeye ananijali sana (ona 1Petro 5:7).

Nampinga Shetani, naye ananikimbia (ona Yakobo 4:7).

Ninapata maisha yangu kwa kuyapoteza kwa ajili ya Yesu (ona Mathayo 16:25).

Mimi ni mtumwa wa Bwana (ona 1Wakor. 7:22).

Kwangu, kuishi ni Kristo na kufa ni faida (ona Wafilipi 1:21).

Uraia wangu ni mbinguni (ona Wafilipi 3:20).

Mungu ataimaliza kazi njema aliyoanza ndani yangu (ona Wafilipi 1:6).

Mungu yuko ndani yangu akitenda kazi (ona Wafilipi 2:13).

Nimekombolewa kutokana na laana ya Torati (ona Wagalatia 3:13).

Hayo ni machache tu kati ya matamko mengi sahihi tunayoweza kufanya, kutoka katika Neno la Mungu. Itakuwa jambo jema kujenga tabia ya kutamka hayo mara kwa mara mpaka kweli zake zipate kina na mizizi ndani ya mioyo yetu. Nasi tunapaswa kuchunga kila neno litokalo katika midomo yetu ili tuhakikishe kwamba hatusimami kinyume na maneno ambayo Mungu amesema.

Во Христе

Глава девятнадцатая

 

В посланиях Нового Завета мы встречаем такие фразы как „во Христе”, „со Христом”, „через Христа” и „в Нем”. Это свидетельствует о преимуществах, которые мы, верующие, имеем благодаря тому, что Иисус сделал для нас. Служитель, воспитывающий учеников, желает научить своих учеников тому, кем они являются во Христе, чтобы помочь им достичь полной духовной зрелости.

Итак, что же это значит, быть „во Христе”?

Когда мы рождаемся свыше, то в духовном смысле становимся частью тела Христова и одним целым со Христом. Давайте рассмотрим несколько мест из Нового Завета, в которых об этом идет речь:

„Так мы, многие, составляем одно тело во Христе, а порознь один для другого члены” (Рим. 12:5).

„А соединяющийся с Господом есть один дух с Господом” (1 Кор. 6:17).

„И вы – тело Христово, а порознь члены” (1 Кор. 12:27).

Мы, то есть уверовавшие в Господа Иисуса Христа, должны видеть себя соединенными с Ним, членами Его тела и одним духом с Ним. Он – в нас, а мы – в Нем.

Вот стих, говорящий нам о некоторых преимуществах, которые нам даны по милости, как являющимся частью Христа:

„От Него и вы во Христе Иисусе, Который сделался для нас премудростью от Бога, праведностью и освящением и искуплением” (1 Кор. 1:30).

Во Христе мы были соделаны праведными (мы провозглашены невиновными и теперь ведем праведную жизнь), освящены (отделены для святых Божьих целей), и искуплены (выкуплены из рабства). Мы не ждем, когда Он сделает нас праведными, освятит и искупит когда-то в будущем. Мы имеем все эти благословения прямо сейчас, потому что мы – во Христе.

Во Христе наши прежние грехи прощены:

„Избавившего нас от власти тьмы и введшего в Царство возлюбленного Сына Своего, в Котором мы имеем искупление Кровию Его и прощение грехов” (Кол. 1:13-14).

Обратите внимание, что это место Писания также говорит о том, что мы больше не принадлежим мрачному царству сатаны, но теперь находимся в царстве света, в царстве Иисуса.

„Итак, кто во Христе, тот новая тварь; древнее прошло, теперь все новое” (2 Кор. 5:17).

Слава Богу! Если ты – последователь Христа, то являешься новым творением, точно так же, как гусеница превращается в бабочку! Твой дух теперь имеет новую природу. Раньше твой дух имел эгоистичную сатанинскую природу, но теперь вся прежняя жизнь ушла в прошлое.

Другие благословения во Христе

„Ибо все вы сыны Божии по вере во Христа Иисуса” (Гал. 3:26).

Как прекрасно осознавать, что мы – Божьи дети, рожденные от Его Духа! Молясь Ему, мы приходим к Нему не только как к Богу, но также как к Отцу!

„Ибо мы – Его творение, созданы во Христе Иисусе на добрые дела, которые Бог предназначил нам исполнять” (Еф. 2:10).

Бог не только сотворил нас, Он также сотворил нас заново во Христе. Более того, Бог приготовил служение для каждого из нас – „добрые дела”, которые мы должны совершать. У каждого из нас есть наше индивидуальное божественное предназначение.

„Ибо не знавшего греха Он сделал для нас жертвою за грех, чтобы мы в Нем сделались праведными пред Богом” (2 Кор. 5:21).

Праведность, которую мы имеем во Христе, – это фактически Божья праведность. Бог поселился в нас и изменил нас посредством Духа Святого. На самом деле наши добрые дела – это Божьи дела через нас.

„Но все сие преодолеваем силою Возлюбившего нас” (Рим. 8:37).

Что же мы преодолеваем? Написанное перед этим стихом объясняет, что это испытания и страдания, через которые проходят верующие. Мы побеждаем, даже если умираем за Христа, хотя в глазах мира мы выглядим жертвами. Мы побеждаем через Христа, потому что когда умираем, идем на небеса!

„Все могу в укрепляющем меня Иисусе Христе” (Флп. 4:13).

Во Христе для нас нет ничего невозможного, потому что Бог дает нам способности и силу. Мы можем исполнить любое поручение, которое Он нам дает.

„Бог мой да восполнит всякую нужду вашу, по богатству Своему в славе, Христом Иисусом” (Флп. 4:19).

Мы вправе ожидать восполнения наших насущных нужд, если в первую очередь ищем Его царства. Господь – наш пастырь, Он заботится о Своих овцах!

Согласие с Божьим словом

К сожалению, некоторые из нас не верят в то, что говорит о нас Слово Божье. Это видно из наших собственных заявлений, которые противоречат тому, что говорит Библия. Вместо того, чтобы сказать „Я все могу в укрепляющем меня Иисусе Христе”, мы говорим: „Не думаю, что у меня это получится”.

Такие изречения можно назвать „худой молвой”, потому что они противоречат тому, что говорит Бог (см. Числ. 13:32). Но если сердца наполнены Божьим Словом, то мы будем полны веры, и будем говорить только то, что соответствует Писанию.

Возможные библейские провозглашения

Мы должны верить и говорить о себе то же самое, что о нас говорит Бог.

Мы должны верить и говорить, что если Бог считает, что мы способны что-то сделать, то это действительно так.

Мы должны верить и говорить, что Бог есть то, что Он о Себе говорит.

Мы должны верить и говорить, что Бог сделает то, что обещал сделать.

Ниже я привожу некоторые мысли, которые всякий верующий может смело провозглашать. Не все из них относятся к теме „во Христе”, но все они соответствуют Писанию.

Я искуплен, освящен и оправдан во Христе (см. 1 Кор. 1:30).

Я избавлен от царства тьмы и перенесен в царство Божьего Сына, царство света (см. Кол. 1:13).

Все мои грехи были прощены во Христе (см. Еф. 1:7).

Я – новое творение во Христе, моя прежняя жизнь осталась в прошлом (см. 2 Кор. 5:17).

Бог приготовил меня к добрым делам, чтобы я исполнял их (см. Еф. 2:10).

Я стал праведностью Божьей во Христе (см. 2 Кор. 5:21).

Я побеждаю во всем через Иисуса Христа, который возлюбил меня (см. Рим. 8:37).

Я все могу через укрепляющего меня Христа (см. Флп. 4:13).

Мой Бог восполняет все мои нужды по богатству Своей славы во Христе (см Флп. 4:19).

Я призван к тому, чтобы быть святым (см. 1 Кор. 1:2).

Я – дитя Божье (см. Иоан. 1:12, 1 Иоан. 3:1-2).

Мое тело – храм Духа Святого (см. 1 Кор. 6:19).

Уже не я живу, Христос живет во мне (см. Гал. 2:20).

Я избавлен от власти Сатаны (см. Деян. 26:18).

Божья любовь излилась в мое сердце Духом Святым (см. Рим. 5:5).

Тот, кто во мне, больше того, кто в мире (т.е. Сатаны) (см. 1 Иоан. 4:4).

Я благословен всяким духовным благословением на небесах во Христе (см. Еф. 1:3).

Я сижу со Христом на небесах, гораздо выше всех сатанинских духовных сил (см. Еф. 2:4-6).

Поскольку я люблю Бога и призван по Его воле, то Он делает так, что все способствует ко благу (см. Рим. 8:28).

Если Бог за меня, то кто может быть против меня? (см. Рим. 8:31).

Ничто не может отлучить меня от любви Христа (см. Рим. 8:35-39).

Для меня все возможно, потому что я верю (см. Марк. 9:23).

Я – священник Бога (см. Откр. 1:6).

Поскольку я – Его дитя, Бог ведет меня Своим Духом (см. Рим. 8:14).

По мере того, как я следую за Христом, путь моей жизни становится все светлее и светлее (см. Притч. 4:18).

Бог дал мне особые дары для исполнения Его служения (см. 1 Пет. 4:10-11).

Я могу изгонять демонов и возлагать руки на больных и они исцелятся (см. Марк. 16:17-18).

Бог всегда ведет меня к торжеству во Христе (см. 2 Кор. 2:14).

Я – посол Христа (см. 2 Кор. 5:20).

Я имею вечную жизнь (см. Иоан. 3:16).

Все, что я прошу в молитве с верой, я получаю (см. Матф. 21:22).

Я исцелен ранами Христа (см. 1 Пет. 2:24).

Я – соль земли и свет миру (см. Матф. 5:13-14).

Я – наследник Божий и сонаследник Иисуса Христа (см. Рим. 8:17).

Я являюсь частью избранного святого народа, царственного священства. Этот народ – собственность Бога (см. 1 Пет. 2:9).

Я – член тела Христова (см. 1 Кор. 12:27).

Господь – пастырь мой, я ни в чем не буду нуждаться (см. Пс. 22:1).

Господь – защита моей жизни. Кого мне бояться? (см. Пс. 27:1).

Бог насытит меня долгими днями жизни (см. Пс. 91:16).

Христос понес мои боли и немощи (см. Ис. 53:4-5).

Господь – мой помощник, поэтому я не боюсь (см. Евр. 13:6).

Я возлагаю все мои заботы на Господа, потому что Он заботится обо мне (см. 1 Пет. 5:7).

Я противостою дьяволу и он убегает от меня (см. Иак. 4:7).

Отдавая свою жизнь ради Иисуса, я снова обретаю ее (см. Матф. 16:25).

Я – раб Господень (см. 1 Кор. 7:22).

Для меня жизнь – Христос, а смерть – приобретение (см. Флп. 1:21).

Я – гражданин небес (см. Флп. 3:20).

Бог довершит доброе дело, которое Он начал во мне (см. Флп. 1:6).

Бог работает со мной так, как Он благоволит (см. Флп. 2:13).

Я искуплен от проклятия закона (см. Гал. 3:13).

Это только пример позитивных провозглашений, которые мы можем исповедовать, основываясь на Божьем Слове. Хорошо развить в себе привычку провозглашать эти мысли до тех пор, пока они не осядут надежно в сердце. Мы должны анализировать каждое слово, исходящее из наших уст, чтобы оно не противоречило тому, что говорит Бог.

 

Rozdział 19: Kiedy początek się kończy

W życiu każdej wierzącej osoby znajdujemy trzy dni, które wyróżniają się spośród innych: dzień narodzin, dzień nowego narodzenia oraz dzień sądu. Spośród tych trzech, dzień sądu jest zdecydowanie najbardziej znaczącym. Jest to dzień, który daje znaczenie poprzednim dwóm.

Najbardziej znaczące przy twoich narodzinach było to, że wprawiło w ruch życie, które pewnego dnia zostanie przez Boga osądzone. Najbardziej znaczące w twoim nowym narodzeniu było to, że oznaczało początek nowego życia oraz nowego stylu życia, które jeśli jest kontynuowane (zobacz Kol 1:23) będzie miało rezultat w postaci odziedziczenia wiecznego życia przy twoim sądzie.

Pomyśl o tym jak znaczący dla każdej osoby będzie dzień sądu. Ci, którzy odrzucili Jezusa jako ich Pana będą tego dnia wtrąceni do piekła, bez opcji powrotu. W przeciwieństwie do każdego poprzedniego dnia – od dnia narodzin do śmierci – Dzień Sądu Ostatecznego zakończy jakąkolwiek sposobność dla grzesznika do okazania żalu za grzechy.

Obecne życie służy każdemu z nas jako próba. Bóg daje nam całe życie na to, abyśmy podjęli decyzje na wieczność. Czy będziemy żałować za grzechy i uwierzymy w Jezusa, czy będziemy kontynuować je w umyślnej niewierze? Czy uznamy Jezusa za naszego Pana, czy będziemy kontynuować służenie samym sobie oraz szatanowi? Nasze decyzje zdeterminują czy zginiemy w piekle, czy będziemy żyć na wieki z królestwie Bożym.

Sąd Chrześcijan

Wierzący, w przeciwieństwie do niewierzącego, przeszedł już pierwszą Bożą próbę. Nie oznacza to jednak, że nie będzie on więcej wystawiany na próby. Wręcz przeciwnie, będzie on stale wystawiany na próby, aby można było zdeterminować czy będzie nadal chodził w wierze i okaże się wartym większych błogosławieństw oraz większej odpowiedzialności.

Bóg będzie oczywiście powierzał więcej zagorzałemu wierzącemu a nie takiemu, który jest o wiele mniej zagorzały. Ta prawda nie będzie dla nas nigdy na tyle przejrzysta, niż wówczas, kiedy staniemy przed tronem Sądu Bożego. Wówczas, każdy wierzący otrzyma rekompensatę za swoje uczynki i otrzyma przynależną mu pozycję w królestwie Bożym. Jesteśmy istotnie łaską zbawieni, ale zostaniemy osądzeni oraz nagrodzeni zgodnie z naszymi uczynkami. Tego uczy nas Biblia. Weź pod uwagę poniższe wersety:

Dlaczego więc ty potępiasz swego brata? Albo dlaczego gardzisz swoim bratem? Wszyscy przecież staniemy przed trybunałem Boga. Napisane jest bowiem: Na moje życie – mówi Pan – przede Mną klęknie wszelkie kolano, a każdy język wielbić będzie Boga. Tak więc każdy z nas o sobie samym zda sprawę Bogu (Rz 14:10-12).

Wszyscy bowiem musimy stanąć przed trybunałem Chrystusa, aby każdy otrzymał zapłatę za uczynki dokonane w ciele, złe lub dobre (2 Kor 5:10).

Przeto nie sądźcie przedwcześnie, dopóki nie przyjdzie Pan, który rozjaśni to, co w ciemnościach ukryte, i ujawni zamiary serc. Wtedy każdy otrzyma od Boga pochwałę (1 Kor 4:5).

Niestety wielu Chrześcijan myśli, że kiedy umrą, po prostu pójdą do nieba i przeniosą się do swojej posiadłości. Potem, jak już się zaklimatyzują, pójdą na spacer do miejsca, w którym mieszka Bóg i tam zatrzymają się na krótką pogawędkę. Nie zdają sobie sprawy z tego, że w pierwszej kolejności będą musieli stanąć przed tronem Jego sądu i zdać relację ze swoich czynów.

Nie będzie to sąd, który rozstrzygnie zbawienie czy potępienie. Będzie to sąd, który zdeterminuje ich nagrody. Każdy z nas otrzyma pochwałę bądź reprymendę, nagrodę lub stratę, wywyższenie bądź poniżenie, wszystko w zależności od tego, co uczyniliśmy jako wierzący. Jedni będą nazwani najmniejszymi, a inni będą nazwani wielkimi (zobacz Mt 5:19). Wiele będzie powierzone tym, którym będzie mogło zostać powierzone wiele; a mało powierzone będziemy tym, którym będzie mogło zostać zawierzone mało (zobacz Mt 25:21,23).

Boży wieczny plan

Mam nadzieję że dostrzegasz to, że Bóg posiadał wieczny plan od samego początku. Paweł napisał: „Zgodnie z planem wieków, jaki powziął [Bóg] w Chrystusie Jezusie, Panu naszym” (Ef 3:11, dodano podkreślenie). Działał On jeszcze zanim wszystko powstało, tak aby ujawnił się Jego plan. Ów plan obejmował także naszą adopcję do Jego rodziny oraz nasze doskonalenie w Chrystusie:

W Nim bowiem wybrał nas przez założeniem świata, abyśmy byli święci i nieskalani przed Jego obliczem. Z miłości przeznaczył nas dla siebie jako przybranych synów przez Jezusa Chrystusa (Ef 1:4-5a).

Niektórzy niestety przekręcili słowa Pisma, takie jak te powyżej, aby mogli oni przekazać, że Bóg przeznaczył jednych do tego, aby zostali zbawieni, a innych, aby zostali potępieni. Musimy być jednak ostrożni, abyśmy nie ignorowali setek innych wersetów, z których staje się jasne, że jesteśmy wolnymi podmiotami moralnymi[1], którzy otrzymali prawo do przyjęcia lub odrzucenia Jezusa. Stąd, kiedy Paweł mówi, że zostaliśmy wybrani, czy przeznaczeni, może on się tylko odnosić do nas, którzy dokonaliśmy wyboru, aby okazać żal za popełnione grzechy i uwierzyć w Jezusa. Bóg wybrał nas, abyśmy stali się świętymi, wszyscy ci, którzy dokonają takiego wyboru samemu. Bóg przeznaczył zaadoptować tych, którzy uwierzą w Jezusa.

Bożym wiecznym planem było posiadanie rodziny na wieczność – wolnych podmiotów moralnych, którzy zdecydowaliby się, aby Boga kochać i służyć Mu – dzieci, które byłyby święte oraz bez zarzutu. Stąd potrzeba, aby wszystkie wolne podmioty były poddawane próbie, aby można było zdeterminować, kto będzie się kwalifikował do życia w Jego królestwie na zawsze oraz, kto z tych, którzy się kwalifikują, otrzyma więcej lub mniej odpowiedzialności w przyszłym królestwie.

Pytanie o nagrody

W tym temacie, spójrzmy na znaną przypowieść Jezusa, jedną z tych, którą opowiadał On przed Swoją śmiercią:

Mówił więc: Pewien człowiek szlachetnego rodu udał się w kraj daleki, aby uzyskać dla siebie godność królewską i wrócić. Przywołał więc dziesięciu sług swoich, dał im dziesięć min i rzekł do nich: Zarabiajcie nimi, aż wrócę. Ale jego współobywatele nienawidzili go i wysłali za nim poselstwo z oświadczeniem: Nie chcemy, żeby ten królował nad nami.

Gdy po otrzymaniu godności królewskiej wrócił, kazał przywołać do siebie te sługi, którym dał pieniądze, aby się dowiedzieć, co każdy zyskał. Stawił się więc pierwszy i rzekł: Panie, twoja mina przysporzyła dziesięć min. Odpowiedział mu: Dobrze, sługo dobry; ponieważ w dobrej rzeczy okazałeś się wierny, sprawuj władzę nad dziesięciu miastami. Także drugi przyszedł i rzekł: Panie, twoja mina przyniosła pięć min. Temu też powiedział: I ty miej władzę nad pięciu miastami.

Następny przyszedł i rzekł: Panie, tu jest twoja mina, którą trzymałem zawiniętą w chustce. Lękałem się bowiem ciebie, bo jesteś człowiekiem surowym: chcesz brać, czegoś nie położył, i żąć, czegoś nie posiał. Odpowiedział mu: Według słów twoich sądzę cię, zły sługo. Wiedziałeś, że jestem człowiekiem surowym: chcę brać, gdzie nie położyłem, i żąć, gdziem nie posiał. Czemu więc nie dałeś moich pieniędzy do banku? A ja po powrocie byłbym je z zyskiem odebrał. Do obecnych zaś rzekł: Odbierzcie mu minę i dajcie temu, który ma dziesięć min. Odpowiedzieli mu: Panie, ma już dziesięć min.

Powiadam wam: Każdemu, kto ma, będzie dodane; a temu, kto nie ma, zabiorą nawet to, co ma. Tych zaś przeciwników moich, którzy nie chcieli, żebym panował nad nimi, przyprowadźcie tu i pościnajcie w moich oczach (Łk 19:12-27).

Większa część znaczenia tej przypowieści jest dla nas jasna. Jezus najwyraźniej jest ów człowiekiem szlachetnego rodu, który dla Siebie otrzymał daleki kraj. Ci z nas, którzy zdecydowali się Mu służyć są porównani do niewolników, którzy otrzymali jakąś ilość pieniędzy, aby dzięki nim, mogli zostać wystawieni na próbę. Pieniądze mogą jedynie reprezentować dary, zdolności oraz szanse jakie otrzymujemy, z użyciem których możemy służyć naszemu Panu. Mieszkańcy, którzy nienawidzą szlachetnego człowieka reprezentują niewierzących.

Zauważ, że ci dwaj wierni niewolnicy, którzy zostali pochwaleni, otrzymali nagrodę w postaci większych odpowiedzialności. Mieli oni rządzić określoną liczbą miast. Biblia uczy nas, że będziemy rządzić i panować wraz z Chrystusem podczas Jego panowania Milenijnego, przypowieść ta w takim razie doskonale wiąże się z tą prawdą (zobacz 1 Tm 2:12, Ap 2:26-27, 5:10, 20:6). Nasze pozycja władania w przyszłym Królestwie Bożym będzie zdeterminowana naszą wiernością w tym życiu.

Komentatorzy debatują czy niewierny sługa w tej przypowieści reprezentuje kogoś, kto najpierw okazał się wiernym wierzącym, który stał się niewierny, czy tego, który nigdy nie został zbawiony. Niezależnie od odpowiedzi na te pytanie, kilka punktów zostało odpowiedzialnych: Bóg nagrodzi nas jeśli będziemy wierni; nagrody te będą obejmowały awans do pozycji władania w Bożym przyszłym Królestwie. I najwyraźniej jeśli nagrody zostaną otrzymane, wówczas wierność wierzących jest teraz wystawiana na próby.

Co będzie nagrodzone?

Każdy dobry uczynek jak robimy oraz w posłuszeństwie z zapisanym Słowem Bożym oraz Jego Duchem Świętym i dla dobrych motywów będą nagradzane. Jezus ostrzegł, że dobre uczynki dokonane z niewłaściwych motywów nie będą nagrodzone przez naszego Niebiańskiego Ojca:

Strzeżcie się, żebyście uczynków pobożnych nie wykonywali przed ludźmi po to, aby was widzieli; inaczej nie będziecie mieli nagrody u Ojca waszego, który jest w niebie. Kiedy więc dajesz jałmużnę, nie trąb przed sobą, jak obłudnicy czynią w synagogach i na ulicach, aby ich ludzie chwalili. Zaprawdę, powiadam wam: ci otrzymali już swoją nagrodę. Kiedy zaś ty dajesz jałmużnę, niech nie wie lewa twoja ręka, co czyni prawa, aby twoja jałmużna pozostała w ukryciu. A Ojciec twój, który widzi w ukryciu, odda tobie.

Gdy się modlicie, nie bądźcie jak obłudnicy. Oni lubią w synagogach i na rogach ulic wystawać i modlić się, żeby się ludziom pokazać. Zaprawdę, powiadam wam: otrzymali już swoją nagrodę. Ty zaś, gdy chcesz się modlić, wejdź do swej izdebki, zamknij drzwi i módl się do Ojca twego, który jest w ukryciu. A Ojciec twój, który widzi w ukryciu, odda tobie.

Kiedy pościcie, nie bądźcie posępni jak obłudnicy. Przybierają oni wygląd ponury, aby pokazać ludziom, że poszczą. Zaprawdę, powiadam wam: już odebrali swoją nagrodę. Ty zaś, gdy pościsz, namaść sobie głowę i umyj twarz, aby nie ludziom pokazać, że pościsz, ale Ojcu twemu, który jest w ukryciu. A Ojciec twój, który widzi w ukryciu, odda tobie (Mt 6:1-6, 16-18).

Nie możemy być pewni motywów innych osób, ale możemy sprawdzić nasze własne motywy poprzez czynienie takich uczynków, których nie widzi nikt inny tylko Pan. Apostoł Paweł miał kilka ważnych spostrzeżeń na temat różnych uczynków, które zostaną nagrodzone, kiedy staniemy przed Panem:

My bowiem [Paweł i Apollos] jesteśmy pomocnikami Boga, wy zaś jesteście uprawną rolą Bożą i Bożą budowlą. Według danej mi łaski Bożej, jako roztropny budowniczy, położyłem fundament, ktoś inny zaś wznosi budynek. Niech każdy jednak baczy na to, jak buduje. Fundamentu bowiem nikt nie może położyć innego, jak ten, który jest położony, a którym jest Jezus Chrystus. I tak jak ktoś na tym fundamencie buduje: ze złota, ze srebra, z drogich kamieni, z drzewa, z trawy lub ze słomy, tak też jawne się stanie dzieło każdego: odsłoni je dzień /Pański/; okaże się bowiem w ogniu, który je wypróbuje, jakie jest. Ten, którego dzieło wzniesione na fundamencie przetrwa, otrzyma zapłatę; ten zaś, którego dzieło spłonie, poniesie szkodę: sam wprawdzie ocaleje, lecz tak jakby przez ogień (1 Kor 3:9-15, dodano podkreślenie).

Zauważ, że Paweł wymienił sześć materiałów, które potencjalnie reprezentują potencjalną jakość naszych dobrych uczynków: złoto, srebro, cenne kamienie, drewno, siano oraz słoma. Najwyraźniej, trzy są bardzo cenne a trzy nie są aż tak cenne. Trzy są także palne, a trzy nie.

Paweł wskazał, że pewnego dnia, uczynki każdego wierzącego zostaną poddane próbie poprzez „ogień”. Mimo tego, że ogień, o którym mówił Paweł może być przenośnią, lubię wyobrazić sobie wielki piec z przenośnikiem taśmowym, który przez niego przejeżdża. Wyobrażam sobie, że każdy z Chrześcijan ładuje swoje uczynki z jednej strony pieca i przechodzi na drugą stronę, patrząc w oczekiwaniu, co przetrwało ów ogień. Uczynki każdego z Chrześcijan mogą wyglądać tak samo, kiedy dostają się do ognia – modlitwy, dary, miłe uczynki, ofiary, prześladowania jakie przeszedł itp., mimo tego, że każdy z nich będzie miał inną ilość każdych z nich.

Jednak ogień spali wszystko, co zostało dokonane ze złych motywów, tak samo jak wszystko, co nie zostało dokonane w posłuszeństwie do Bożego Słowa czy Ducha Świętego.

Teraz wyobraź sobie skutecznego (albo egoistycznie motywowanego) kaznodzieję, który przynosi swoje uczynki na sąd. Układa swoje uczynki na taśmie po czym pośpiesznie przechodzi na drugą stronę, dumnie oczekując swojej nagrody. Wyobraź sobie jego zaskoczenie, kiedy wszystko co wynurza się po drugiej stronie to małe kupki prochu. „Panie, a co z moimi kazaniami? Co z Kościołem, który zbudowałem? Co z książkami, które napisałem i wyprawami o jakich głosiłem?”. A Pan odpowiada: „Wszystko to czyniłeś, aby być widzianym przez ludzi i większość tego, czego uczyłeś w swoich książkach i kazaniach nie było zgodne z Pismem, a tylko z ludzką mądrością”.

Teraz wyobraź sobie starszą Panią, która nieśmiało przychodzi do pieca w czasie sądu. Kładzie na taśmie wchodzącej do pieca swoje – wydające się na małe – uczynki, po czym wolna powłócząc nogami przechodzi na drugą stronę, oczekując i wypatrując co może zostać niezniszczone przez potężny ogień. Wyobraź sobie jej zdziwienie, kiedy widzi jak z pieca wydostają się stosy diamentów i rubinów wraz ze sztabkami złota i srebra. „Panie, co takiego uczyniłam, aby na to zasłużyć?”. A Pan odpowiada: „Wiernie uczyłaś dzieci podczas szkółki niedzielnej przez 36 lat. Byłaś sekretnym wojownikiem w modlitwie. Robiłaś dokładnie to, do czego cię powołałem, abyś czyniła. Będziesz zarządcą nad dziesięcioma miastami”.

Podczas owego dnia sądu lepiej uda nam się pojąć ostrzeżenia Jezusa: „ostatni będą pierwszymi, a pierwsi ostatnimi” (Mt 20:16) oraz „komu wiele dano, od tego wiele wymagać się będzie” (Łk 12:48).

Nawet „małe uczynki” będą wówczas nagrodzone. Tak jak powiedział Jezus: „Kto poda kubek świeżej wody do picia jednemu z tych najmniejszych, dlatego że jest uczniem, zaprawdę powiadam wam, nie utraci swojej nagrody” (Mt 10:42).

Niektóre miejsca są już zarezerwowane

Niektóre z przyszłych miejsc we władaniu podczas Milenijnego panowania Chrystusa są już najwyraźniej zarezerwowane. Jezus powiedział do Swoich dwunastu apostołów:

Jezus zaś rzekł do nich: Zaprawdę, powiadam wam: Przy odrodzeniu, gdy Syn Człowieczy zasiądzie na swym tronie chwały, wy, którzy poszliście za Mną, zasiądziecie również na dwunastu tronach, sądząc dwanaście pokoleń Izraela. I każdy, kto dla mego imienia opuści dom, braci lub siostry, ojca lub matkę, dzieci lub pole, stokroć tyle otrzyma i życie wieczne odziedziczy (Mt 19:28-29).

Dwunastu apostołów będzie otrzyma zatem jurysdykcję nad dwunastoma plemionami Izraela podczas rządów Milenijnych. Każdy kto poświęcił cokolwiek dla Jezusa otrzyma zapłatę właśnie wtedy, wielokrotnie większą w porównaniu do swojej ofiary.

Przyjdź Królestwo Twoje

Bóg powiedział raz do Daniela, jak zostało zapisane w ostatnim wersecie księgi, która nosi jego imię: „Lecz ty idź swoją drogą, aż przyjdzie koniec; i spoczniesz, i powstaniesz do swojego losu u kresu dni” (Dn 12:13). Tak samo jak Daniel, twoje Boże przeznaczenie będzie ostatecznie zrealizowane w przyszłym królestwie. To jakie decyzje podejmujemy teraz, w tym życiu, będzie miało wieczne konsekwencje. Nie ma zatem nic bardziej ważnego niż przejście naszych prób przez zaufanie oraz posłuszeństwo Bogu.

Czy ty wypełnisz swoje Boże przeznaczenie?

Wysłuchaj końcowej nauki całości: Bój się Boga i przestrzegaj jego przykazań, bo to jest obowiązek każdego człowieka. Bóg bowiem odbędzie sąd nad każdym czynem, nad każdą rzeczą tajną – czy dobrą, czy złą (Koh 12:13-14).


[1] JW terminologii angielskiej używa się określenia „free moral agents

Bab Sembilan-Belas (Chapter Nineteen)

Realitas dalam Kristus (In-Christ Realities)

Di seluruh suratan-suratan dalam Perjanjian Baru, kita temukan frase-frase seperti “dalam Kristus”, “bersama Kristus”, “melalui Kristus”, dan “di dalamNya.” Frase-frase ini sering mengungkapkan manfaat yang kita, orang-orang percaya, miliki karena perkataan Yesus kepada kita. Ketika kita melihat diri kita layaknya Allah melihat kita, “dalam Kristus”, hal itu membantu kita untuk hidup sesuai kehendak Allah. Pelayan pemuridan ingin mengajari murid-muridNya tentang siapa diri mereka dalam Kristus untuk membantu mereka agar bertumbuh menjadi dewasa rohani.

Pertama, apa artinya berada “dalam Kristus”?

Ketika dilahirkan kembali, kita disatukan dalam tubuh Kristus dan menjadi satu denganNya secara rohani. Perhatikan beberapa contoh ayat Perjanjian Baru yang menegaskan hal tersebut:

Demikian juga kita, walaupun banyak, adalah satu tubuh di dalam Kristus. (Roma 12:5, tambahkan penekanan).

Tetapi siapa yang mengikatkan dirinya pada Tuhan, menjadi satu roh dengan Dia. (1 Korintus 6:17, tambahkan penekanan).

Kamu semua adalah tubuh Kristus dan kamu masing-masing adalah anggotanya. (1 Korintus 12:27, tambahkan penekanan).

Orang yang percaya kepada Tuhan Yesus Kristus harus melihat dirinya sebagai satu denganNya, anggota tubuhNya dan satu roh denganNya. Ia ada di dalam kita dan kita di dalam Dia. Inilah ayat yang menyatakan beberapa manfaat yang kita miliki oleh karena keberadaan kita di dalam Kristus:

Tetapi oleh Dia kamu berada dalam Kristus Yesus, yang oleh Allah telah menjadi hikmat bagi kita. Ia membenarkan dan menguduskan dan menebus kita. (1 Korintus 1:30, tambahkan penekanan).

Di dalam Kristus, kita telah dibenarkan (dinyatakan “tidak bersalah ” dan kini melakukan kebenaran), disucikan (dipisahkan untuk dipakai oleh Allah dengan kesucian), dan ditebus (dibebaskan dari perbudakan). Kita tidak menunggu untuk dibenarkan, disucikan, atau ditebus di satu waktu nanti. Sebaliknya, kita memiliki berkat-berkat itu sekarang karena kita ada di dalam Kristus.

Dalam Kristus, dosa-dosa lama kita telah diampuni: Ia telah melepaskan kita dari kuasa kegelapan dan memindahkan kita ke dalam Kerajaan AnakNya yang dikasihi; di dalam Dia kita memiliki penebusan kita, yaitu pengampunan dosa. (Kolose 1:13-14, tambahkan penekanan).

Perhatikan ayat berikut yang juga menyatakan bahwa kita tak lagi berada di kerajaan Setan, tempat kegelapan, tetapi kini berada dalam Kerajaan terang, Kerajaan Yesus.

Jadi siapa yang ada di dalam Kristus, ia adalah ciptaan baru: yang lama sudah berlalu, sesungguhnya yang baru sudah datang. (2 Korintus 5:17, tambahkan penekanan).

Puji Tuhan, jika anda pengikut Kristus, maka anda adalah “ciptaan baru, ”bagaikan seekor ulat yang berubah menjadi kupu-kupu! Roh anda telah diberikan sifat yang baru. Sebelumnya di dalam roh anda ada sifat Setan yang mementingkan diri sendiri, namun kini semua masa lalu anda telah “berlalu.”

Lebih Banyak Berkat dalam Kristus (More Blessings in Christ).

Sebab kamu semua adalah anak-anak Allah karena iman di dalam Yesus Kristus. (Galatia 3:26, tambahkan penekanan).

Tidakkah kita takjub ketika tahu bahwa kita sebenarnya adalah anak-anak Allah, dilahirkan dari RohNya? Ketika datang kepadaNya dalam doa, kita mendekatiNya sebagai Allah kita dan juga sebagai Bapa kita!

Karena kita ini buatan Allah, diciptakan dalam Kristus Yesus untuk melakukan pekerjaan baik, yang dipersiapkan Allah sebelumnya. Ia mau, supaya kita hidup di dalam nya. (Efesus 2:10, tambahkan penekanan).

Allah tidak hanya menciptakan kita, Ia juga menciptakan kembali kita dalam Kristus.. Lagipula, Allah sebelumnya telah menentukan pelayanan untuk kita penuhi, “pekerjaan yang baik …yang disiapkan sebelumnya.” Setiap kita memiliki tujuan ilahi pribadi.

Dia yang tidak mengenal dosa telah dibuatNya menjadi dosa karena kita, supaya dalam Dia kita dibenarkan oleh Allah. (2 Korintus 5:21, tambahkan penekanan).

Kebenaran yang kita miliki karena berada di dalam Kristus adalah kebenaran Allah. Ini karena Allah yang berdiam di dalam kita dan mengubahkan kita oleh Roh Kudus. Perbuatan kita adalah perbuatan baik dari Allah melalui kita.

Tetapi dalam semuanya itu kita lebih dari pada orang-orang yang menang, oleh Dia yang telah mengasihi kita. (Roma 8:37, tambahkan penekanan).

Apakah “semuanya itu” tulisan Paulus? Ayat-ayat dalam kitab Roma sebelum ayat itu mengungkapkan bahwa semuanya itu adalah berbagai pencobaan dan penderitaan yang dialami oleh orang-orang percaya. Bahkan dalam keadaan mati sahid, kitalah orang-orang yang menang, walaupun dunia menganggap kita sebagai korban. Dengan kekuatan yang dahsyat menjadi penakluk melalui Kristus, karena ketika mati, kita menuju ke sorga!

Segala perkara dapat kutanggung di dalam Dia yang memberi kekuatan kepadaku. (Filipi 4:13, tambahkan penekanan).

Melalui Kristus, tiada yang mustahil bagi kita karena Allah memampukan dan menguatkan kita. Kita sanggup menuntaskan setiap tugas yang Dia berikan kepada kita.

Allahku akan memenuhi segala keperluanmu menurut kekayaan dan kemuliaanNya dalam Kristus Yesus. (Filipi 4:19, tambahkan penekanan).

Kita berharap Allah akan memenuhi kebutuhan kita jika kita mencari KerajaanNya lebih dahulu. Tuhan adalah Gembala kita, dan menjaga domba-dombaNya!

Sepakat dengan Perkataan Allah (Agreeing dengan What Allah Says)

Tetapi, sebagian dari kita tak percaya perkataan Firman Tuhan tentang kita, seperti pernyataan kita yang bertentangan dengan perkataan Alkitab. Bukannya berkata, “Saya dapat melakukan segala hal melalui Kristus yang menguatkan saya”, kita malah berkata, “Saya tidak yakin dapat melakukannya.”

Pernyataan-pernyataan tersebut disebut oleh Alkitab sebagai “laporan buruk” karena setiap pernyataan itu tak selaras dengan perkataan Allah (lihat Bilangan 13:32). Tetapi, jika hati kita penuh dengan Firman Allah, kita akan penuh dengan iman, dengan mempercayai dan hanya mengatakan apa yang selaras dengan Alkitab.

Beberapa Pernyataan Alkitab (Some Biblical Declarations)

Kita percaya dan katakan bahwa kita adalah pribadi yang sesuai perkataan Allah.

Kita percaya dan katakan bahwa kita sanggup lakukan perkataan Allah bahwa kita sanggup.

Kita percaya dan katakan bahwa Allah adalah Yang berkata apa adanya Dia.

Kita percaya dan katakan bahwa Allah akan melakukan kehendakNya.

Berikut ini beberapa pernyataan Alkitab yang harus berani diperkatakan oleh tiap orang percaya. Tidak semua pernyataan adalah realitas “dalam-Kristus”, namun Alkitabiah.

Tetapi oleh Dia kamu berada dalam Kristus Yesus, yang oleh Allah telah menjadi hikmat bagi kita. Ia membenarkan dan menguduskan dan menebus kita. (lihat 1 Korintus 1:30).

Aku telah dipindahkan dari kuasa kegelapan dan masuk ke dalam Kerajaan Anak-Nya, Kerajaan terang (lihat Kolose 1:13).

Semua dosaku telah diampuni dalam Kristus. (lihat Efesus 1:7).

Aku adalah ciptaan baru dalam Kristus —hidupku yang lama telah berlalu (lihat 2 Korintus 5:17).

Allah telah melakukan pekerjaan baik untukku, yang dipersiapkanNya sebelumnya, supaya aku hidup di dalamnya. (lihat Efesus 2:10).

Aku telah dibenarkan oleh Allah dalam Kristus. (lihat 2 Korintus 5:21).

Dalam semuanya, aku lebih dari pada orang-orang yang menang, oleh Dia yang telah mengasihiku. (lihat Roma 8:37).

Segala perkara dapat kutanggung di dalam Dia yang memberi kekuatan kepadaku. (lihat Filipi 4:13).

Allahku akan memenuhi segala keperluanku menurut kekayaan dan kemuliaanNya dalam Kristus Yesus. (lihat Filipi 4:19).

Aku dipanggil untuk menjadi orang kudus (lihat 1 Korintus 1:2).

Aku adalah anak Allah (lihat Yohanes 1:12, 1 Yohanes 3:1-2).

Tubuhku adalah bait Roh Kudus (lihat 1 Korintus 6:19).

Hidupku bukannya aku lagi, tetapi Kristus yang hidup di dalamku (lihat Galatia 2:20).

Aku telah dibebaskan dari kuasa Setan (lihat Kisah Para Rasul 26:18).

Kasih Allah telah dicurahkan di dalam hatiku oleh Roh Kudus (lihat Roma 5:5).

Di dalam diriku, Dia lebih besar daripada dia (Setan) yang ada di dalam dunia ini (lihat 1 Yohanes 4:4).

Aku diberkati dengan segala berkat rohani dalam Kristus. (lihat Efesus 1:3).

Aku diberikan tempat bersama Kristus di sorga, jauh melebihi semua kekuatan roh Setan (lihat Efesus 2:4-6).

Karena aku mengasihi Allah dan merasa terpanggil menurut rencanaNya, Ia turut bekerja dalam segala sesuatu untuk mendatangkan kebaikan. (lihat Roma 8:28).

Jika Allah di pihakku, siapakah yang akan melawan aku? (lihat Roma 8:31).

Tak ada apapun yang dapat memisahkan aku dari kasih Kristus. (lihat Roma 8:35-39).

Tidak ada yang mustahil karena aku orang percaya (lihat Markus 9:23).

Aku adalah seorang imam Allah (lihat Wahyu 1:6).

Karena aku anakNya, Allah memimpinku dalam RohNya (lihat Roma 8:14).

Karena aku mengikuti Tuhan, maka jalan hidupku semakin lama semakin terang (lihat Amsal 4:18).

Allah telah memberikanku karunia-karunia khusus untuk dipakai bagi pelayananNya (lihat 1 Petrus 4:10-11).

Aku dapat mengusir setan-setan dan menumpangkan tangan atas orang-orang sakit, dan orang-orang itu akan sembuh. (lihat Markus 16:17-18).

Allah selalu memimpinku menuju kemenangan dalam Kristus. (lihat 2 Korintus 2:14).

Aku adalah utusan Kristus (lihat 2 Korintus 5:20).

Aku memiliki kehidupan yang kekal (lihat Yohanes 3:16).

Apa saja yang kuminta dalam doa dengan penuh kepercayaan, aku akan menerimanya. (lihat Matius 21:22).

Oleh bilur-bilur Yesus, aku disembuhkan (lihat 1 Petrus 2:24).

Akulah garam dunia dan terang dunia (lihat Matius 5:13-14).

Akulah ahli waris Allah dan ahli waris bersama dengan Yesus Kristus (lihat Roma 8:17).

Aku adalah bagian dari bangsa yang terpilih, imamat yang rajani, bangsa yang kudus, umat kepunyaan Allah Sendiri. (lihat 1 Petrus 2:9).

Aku adalah anggota tubuh Kristus (lihat 1 Korintus 12:27).

Tuhan adalah gembalaku, tidak akan kekurangan aku (lihat Mazmur 23:1).

Tuhanlah benteng hidupku — kepada siapa aku harus takut? (lihat Mazmur 27:1).

Allah akan mengenyangkan aku dengan umur panjang. (lihat Mazmur 91:16).

Kristus menanggung penyakitku dan memikul kesengsaraanku (lihat Yesaya 53:4-5).

Tuhanlah penolongku, maka aku tidak akan takut (lihat Ibrani 13:6).

Aku serahkan segala kuatirku kepada Tuhan karena Ia memeliharaku (lihat 1 Petrus 5:7).

Aku melawan Iblis, dan ia lari daripadaku (lihat Yakobus 4:7).

Aku mendapatkan nyawaku dengan cara kehilangan nyawaku karena Yesus (lihat Matius 16:25).

Aku adalah hamba Tuhan (lihat 1 Korintus 7:22).

Bagiku, hidup adalah Kristus, dan mati adalah keuntungan (lihat Filipi 1:21).

Kewargaanku adalah di sorga (lihat Filipi 3:20).

Allah akan menyelesaikan pekerjaan yang baik yang telah dimulaiNya di dalam ku (lihat Filipi 1:6).

Allah bekerja di dalam ku, bekerja menurut kerelaan-Nya. (lihat Filipi 2:13).

Aku telah ditebus dari kutukan Hukum Taurat (lihat Galatia 3:13).

Semua di atas hanya beberapa contoh pernyataan positif yang dapat kita buat sesuai Firman Tuhan. Sebaiknya kita biasakan diri mengucapkan setiap penyataan di atas sampai kebenaran yang ditegaskan dalam pernyataan itu menjadi berakar dalam hati kita. Kita harus jaga tiap perkataan mulut kita agar tidak bertentangan dengan perkataan Allah.