Ibada Maalum

Sura Ya Ishirini Na Tatu

Yesu alitoa ibada maalum mbili tu kwa kanisa: ubatizo wa maji (ona Mathayo 28:19) na Meza ya Bwana (ona 1Wakor. 11:23-26). Tujifunze kuhusu ubatizo wa maji kwanza.

Katika agano jipya, kila aaminiye anapaswa kubatizwa mara tatu tofauti, kama ifuatavyo: ubatizo wa kuingia katika mwili wa Kristo; ubatizo wa maji, na ubatizo wa Roho Mtakatifu.

Mtu anapozaliwa mara ya pili, anabatizwa ili kuingia katika mwili wa Kristo. Yaani, anafanyika kiungo katika mwili wa Kristo ambao ni kanisa.

Kwa maana katika Roho mmoja sisi sote tulibatizwa kuwa mwili mmoja (1Wakor. 12:13. Ona pia Warumi 6:3; Waefeso 1:22, 23; Wakolosai 1:18, 24).

Kubatizwa katika Roho Mtakatifu ni kitu kinachofuata wokovu, na ubatizo huu ni kwa ajili ya kila aaminiye.

Mwisho – kila mwamini anapaswa kubatizwa katika maji mara tu inapowezekana, baada ya kutubu na kumwamini Bwana Yesu. Ubatizo unapaswa kuwa tendo la kwanza la utii katika maisha ya mwamini mpya.

[Yesu] Akawaambia, Enendeni ulimwengu mwote mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa (Marko 16:15, 16. Maneno mepesi kukazia).

 

Kanisa la kwanza lilihesabu amri ya Yesu kuhusu kubatiza kuwa ya muhimu sana. Karibu kila mara, waamini wapya walibatizwa mara moja baada ya kuokoka kwao (ona Matendo 2:37-41; 8:12-16; 36-39; 9:17-19; 10:44-48; 16:31-33; 18:5-8; 19:1-5).

Mawazo Kinyume Cha Biblia Kuhusu Ubatizo

Kuna wanaobatiza kwa kumnyunyuzia mwongofu mpya matone kidogo tu ya maji. Je, ni sahihi? Neno batiza katika Agano Jipya linatokana na neno la Kiyunani baptize, ambalo maana yake halisi ni “kufunika kwa maji, kuzamisha.” Basi, wale wanaobatizwa kw amaji wanatakiwa kuzamishwa ndani ya mani, si kudondoshewa matone machache tu. Maana ya ubatizo wa Kikristo ambayo tutajifunza punde tu, inaunga mkono pia wazo la kuzamishwa katika maji.

Kuna wengine wanaobatiza watoto wachanga. Hakuna mifano ya maandiko kuhusu kubatizwa kwa watoto katika Biblia. Desturi hiyo inatokana na mafundisho ya uongo kuhusu “ubatizo kuokoa” – wazo kwamba mtu huzaliwa mara ya pili anapobatizwa. Maandiko yanafundisha wazi kabisa kwamba watu wanapaswa kumwamini Yesu kwanza kabla ya kubatizwa. Hivyo, watoto wakubwa kidogo, na wenye uwezo wa kutubu na kumfuata Yesu wanastahili kubatizwa – si watoto wachanga au hata wadogo.

Kuna wanaofundisha kwamba, ingawa mtu anaweza kumwamini Yesu, hajaokoka mpaka abatizwe. Kulingana na Maandiko, hiyo si kweli. Katika Matendo 10:44-48 na 11:17, tunasoma kwamba watu wa nyumbani mwake Kornelio waliokolewa na kubatizwa kwa Roho Mtakatifu kabla hawajabatizwa katika maji. Ni kwamba haiwezekani yeyote abatizwe kwa Roho Mtakatifu kama hajaokoka kwanza (ona Yohana 14:17).

Kuna wanaofundisha kwamba kama mtu asipobatizwa kulingana na utaratibu wao, hajaokoka. Maandiko hayatoi utaratibu fulani kiibada ambao unapaswa kufuatwa, ili uwe ubatizo sahihi au halali. Kwa mfano: Kuna wanaosema mwamini anatakiwa kubatizwa “katika jina la Yesu” (Matendo 8:16). Wanadai kwamba mtu akibatizwa “kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu” (Mathayo 28:19) hajaokoka. Watu hao wanaonyesha roho ile ile ambayo iliwatawala Mafarisayo – wanachuja mbu na kumeza ngamia. Ni huzuni ilioje kwamba Wakristo wanahojiana kuhusu maneno yanayofaa kusemwa wakati wa ubatizo, huku dunia inasubiri kusikiliza Injili.

Maana Ya Ubatizo Kimaandiko

Ubatizo wa maji ni mfano wa vitu vingi ambavyo vinakuwa vimekwisha tokea katika maisha ya mwamini. Kimsingi, ni mfano kwamba tumesafishwa dhambi zetu, na sasa tunasimama mbele za Mungu tukiwa safi. Wakati Anania alipotumwa kwa Sauli (au Paulo) mara tu alipo-okoka, alimwambia hivi:

Basi sasa, unakawilia nini? Simama ubatizwe, ukaoshwe dhambi zako, ukiliitia jina lake (Matendo 22:16. Maneno mepesi kukazia).

Pili – Ubatizo wa maji ni mfano wa sisi kujitambulisha na Kristo katika kufa Kwake, kuzikwa na kufufuka. Tukiisha zaliwa mara ya pili na kuwekwa katika mwili wa Kristo, tunaanza kuhesabiwa kuwa “katika Kristo” tangu wakati huo na kuendelea. Kwa sababu Yesu alituwakilisha, Mungu anatuhesabia yote aliyofanya Yesu. Basi, “katika Kristo” tumekufa, tumezikwa na tumefufuliwa ili kuishi kama watu wapya kabisa.

Hamfahamu ya kuwa sisi sote tuliobatizwa katika Kristo Yesu tulibatizwa katika mauti Yake? Basi tulizikwa pamoja naye kwa njia ya ubatizo katika mauti yake, kusudi kama Kristo alivyofufuka katika wafu kwa njia ya utukufu wa Baba, vivyo hivyo na sisi tuenende katika upya wa uzima (Warumi 6:3, 4).

Mkazikwa pamoja naye katika ubatizo; na katika huo mkafufuliwa pamoja naye kwa kuziamini nguvu za Mungu aliyemfufua katika wafu (Wakolosai 2:12).

Kila mwamini mpya anapaswa kufundishwa kweli hizi muhimu sana wakati anapobatizwa kwa maji, naye anapaswa kubatizwa mara moja baada ya kumwamini Yesu.

Meza Ya Bwana

Meza ya Bwana asili yake ni katika Sikukuu ya Pasaka ya Agano la Kale. Usiku ule Mungu alipowakomboa Israeli kutoka utumwani Misri, aliagiza kila nyumba kuchinja mwana-kondoo wa umri wa mwaka mmoja na kuinyunyiza damu yake kwenye miimo ya milango ya nyumba zao. Wakati “malaika wa kifo” alipopita katika taifa hilo usiku ule, akiua wazaliwa wa kwanza wote katika Misri, angeiona damu kwenye nyumba za Waisraeli, na “kupita juu yake.”

Tena, Waisraeli walitakiwa kusherehekea sikukuu usiku huo kwa kumla mwanakondoo wao wa Pasaka na pia kwa kula mkate usiotiwa chachu kwa siku saba. Hili lilikuwa agizo la kudumu kwa Waisraeli, na ni kitu cha kufanyika kila mwaka wakati huo huo (ona Kutoka 12:1-28). Ni dhahiri kwamba mwana-kondoo wa Pasaka alikuwa mfano wa Kristo, anayeitwa “Pasaka wetu” katika 1Wakoirntho 5:7.

Wakati Yesu alipoanzisha Meza ya Bwana, Yeye na wanafunzi Wake walikuwa kwenye Sherehe ya Pasaka. Yesu alisulubiwa wakati wa Pasaka, na kwa njia hiyo kutimiza kikamilifu wito Wake kama “Mwanakondoo wa Mungu, azichukuaye dhambi za dunia” (Yohana 1:29).

Ule mkate tunaokula na maji ya matunda tunayokunywa ni mfano wa mwili wa Yesu, uliovunjwa kwa ajili yetu, na damu yake, iliyomwagika kwa ajili ya ondoleo la dhambi zetu.

Nao walipokuwa wakila Yesu alitwaa mkate, akabariki, akaumega, akawapa wanafunzi wake akasema, Twaeni mle, huu ndio mwili wangu. Akakitwaa kikombe, akashukuru, akawapa akisema, Nyweni nyote katika hiki; kwa maana hii ndiyo damu yangu ya agano, imwagikayo kwa ajili ya wengi kwa ondoleo la dhambi. Lakini nawaambieni, Sitakunywa kabisa tangu sasa uzao huu wa mzabibu, hata siku ile nitakapokunywa mpya pamoja nanyi katika ufalme wa Baba yangu (Mathayo 26:26-29).

Mtume Paulo anasimulia kisa hicho hicho kwa njia tofauti, kama ifuatavyo:

Kwa maana mimi nalipokea kwa Bwana niliyowapa nanyi, ya kuwa, Bwana Yesu usiku ule aliotolewa alitwaa mkate, naye akiisha kushukuru akaumega, akasema, Huu ndio mwili wangu ulio kwa ajili yenu; fanyeni hivi kwa ukumbusho wangu. Na vivi hivi baada ya kula akakitwaa kikombe akisema, Kikombe hiki ni agano jipya katika damu yangu; fanyeni hivi kila mnywapo, kwa ukumbusho wangu. Maana kila mwulapo mkate huu na kukinywea kikombe hiki, mwaitangaza mauti ya Bwana hata ajapo (1Wakor. 11:23-26).

Lini, Namna Gani?

Maandiko hayasemi tushiriki Meza ya Bwana mara kwa mara kiasi gani, lakini ni dhahiri kwamba katika Kanisa la Kwanza ilifanyika mara kwa mara katika mikutano ya makanisa ya nyumbani, kama mlo kamili (ona 1Wakor. 11:20-34). Kuwa kuwa Meza ya Bwana asili yake ni katika Mlo wa Pasaka, ilikuwa ni mlo kamili ilipoanzishwa na Kristo, na ilikuwa sehemu ya chakula kamili katika kanisa la kwanza. Hivyo ndivyo inavyotakiwa kuwa hata siku hizi. Kwa sehemu kubwa, makanisa mengi yanafuata “mapokeo ya wanadamu.”

Tunapaswa kuikaribia Meza ya Bwana kwa kicho na heshima. Mtume Paulo alifundisha kwamba ilikuwa kosa kubwa kushiriki Meza ya Bwana kwa jinsi isivyostahili.

Basi kila aulaye mkate huo, au kukinywea kikombe hicho cha Bwana isivyostahili, atakuwa amejipatia hatia ya mwili na damu ya Bwana. Lakini mtu ajihoji mwenyewe, na hivyo aule mkate na kukinywea kikombe. Maana alaye na kunywa hula na kunywa hukumu ya nafsi yake, kwa kutokuupambanua ule mwili. Kwa sababu hiyo wako wengi kwenu walio hawawezi na dhaifu, na watu kadha wa kadha wamelala. Lakini kama tungejipambanua nafsi zetu, tusingehukumiwa. Ila tuhukumiwapo, twarudiwa na Bwana, isije ikatupasa adhabu pamoja na dunia (1Wakor. 11:27-32).

Tunashauriwa kujichunguza na kujihukumu wenyewe kabla ya kushiriki Meza ya Bwana, na tukigundua dhambi yoyote ile, tunahitaji kuungama na kuitubu. Vinginevyo, tunaweza kuwa “na hatia ya mwili na damu ya Bwana.”

Kwa sababu Yesu alikufa na kumwaga damu yake ili kutuweka huru kutokana na dhambi, kwa kweli hatutaki kushiriki Meza yenye vitu vinavyowakilisha mwili na damu Yake, tukiwa na dhambi yoyote ile tunayoijua, isiyotubiwa. Tukifanya hivyo, tunaweza kula na kunywa hukumu juu yetu wenyewe katika ugonjwa na hata kifo kabla ya wakati, kama ilivyokuwa kwa Wakristo Wakorintho. Njia ya kuepukana na adhabu ya Mungu ni “kujihukumu wenyewe” – yaani, kukiri na kutubu dhambi zetu.

Dhambi kuu ya Wakristo Wakorintho ilikuwa kutokuwa na upendo. Walikuwa wanagombana wao kwa wao. Ukweli ni kwamba, kutokujaliana kwao kulijidhihirisha hata wakati wa Meza ya Bwana, wakati wengine walikula chakula na wengine wanakaa na njaa, na wengine hata walikuwa wanalewa (1Wakor. 11:20-22).

Mkate tunaokula ni mfano wa mwili wa Kristo, ambao sasa ndiyo kanisa. Tunashiriki mkate mmoja, ambao ni mfano wa umoja wetu kama mwili mmoja (ona 1Wakor. 10:17). Ni kosa kubwa sana kushiriki kinachowakilisha mwili mmoja wa Kristo huku tuko katika mapigano na ugomvi na kutokuwa na ushirikiano na viungo wengine wa mwili huo! Kabla hatujashiriki Meza ya Bwana, tunahitaji kuhakikisha kwamba tuko katika mahusiano yaliyo sawa na ndugu zetu na dada zetu katika Kristo.

Таинства

Глава двадцать третья

 

Иисус оставил церкви только два таинства: водное крещение (см. Матф. 28:19) и вечерю Господню (см. 1 Кор. 11:23-26). Сначала рассмотрим водное крещение.

Новозаветный верующий должен пережить три крещения: крещение в тело Христово, водное крещение и крещение в Дух Святой.

Когда человек возрождается свыше, он автоматически крестится в тело Христово. Иными словами он становится членом тела Христова, т. е. Его церкви:

„Ибо все мы одним Духом крестились в одно тело, Иудеи или Еллины, рабы или свободные, и все напоены одним Духом” (1 Кор. 12:13; см. также Рим. 6:3; Еф. 1:22-23; Кол. 1:18, 24).

Крещение в Дух Святой следует за спасением, и это крещение может и должен принять каждый верующий.

И, наконец, каждый верующий должен быть крещен в воде как можно быстрее после того, как раскается в грехах и уверует в Господа Иисуса. Крещение должно стать первым действием послушания нового верующего:

„И сказал им: идите по всему миру и проповедуйте Евангелие всей твари. Кто будет веровать и креститься, спасен будет; а кто не будет веровать, осужден будет” (Марк. 16:15-16).

Ранняя церковь очень серьезно относилась к повелению Иисуса относительно водного крещения. Почти все без исключения новообращенные верующие крестились сразу после своего обращения (см. Деян. 2:37-41; 8:12-16, 36-39; 9:17-19; 10:44-48; 16:31-33; 18:5-8; 19:1-5).

То, чего Писание не говорит о крещении

В некоторых деноминациях крещение производится кроплением новообращенного водой. Правильно ли это? Слово, переведенное в Новом Завете как крестить, буквально означает „погрузить”. Поэтому крещение водой должно осуществляться не кроплением, а погружением. Символика христианского крещения, которую мы будем рассматривать ниже, также включает в себя идею погружения.

В определенных кругах практикуется также крещение младенцев, однако в Библии мы не находим этому подтверждения. Данная практика берет свое начало в лжеучении о „возрождении через крещение”. Это учение подразумевает, что человек рождается свыше в момент крещения. Но Писание ясно говорит, что человек сначала должен уверовать в Иисуса и только потом креститься. Поэтому дети, которые в состоянии покаяться и следовать за Иисусом, могут быть крещены, но это не относится к младенцам и очень маленьким детям.

Также существует учение о том, что даже если человек уверовал в Иисуса, он не может быть спасен до тех пор, пока не будет крещен водой. Но это не соответствует Писанию. В Деян. 10:44-48 и 11:17 говорится, что дом Корнилия был спасен и крещен Духом Святым до того, как его люди были крещены водой. Человек не может быть крещен Духом Святым, если сначала не уверует (см. Иоан. 14:17).

Некоторые люди считают, что если человек крестится не по обряду, принятому у них, то он не спасен. Но Писание не дает нам никакого конкретного ритуала, которого нужно придерживаться, чтобы соблюсти истинность крещения. Например, существует мнение, что человек не спасен, если он крещен „во имя Отца и Сына и Святого Духа” (Матф. 28:19), а не „во имя Иисуса” (Деян. 8:16). Эти люди демонстрируют тот же дух, который был в фарисеях, „оцеживавших комара, а верблюда поглощавших”. Трагедия заключается в том, что христиане спорят друг с другом о том, какие именно слова надо произносить во время крещения в то время, как мир ожидает от них проповеди Евангелия.

Символика крещения

Водное крещение символизирует несколько вещей, уже произошедших в жизни верующего. Говоря проще, оно символизирует то, что наши грехи были омыты и теперь мы стоим пред Богом очищенными. Когда Анания был послан к Павлу вскоре после его обращения, он сказал:

„Итак, что ты медлишь? Встань, крестись и омой грехи твои, призвав имя Господа Иисуса” (Деян. 22:16).

Во-вторых, водное крещение символизирует наше отождествление со Христом в Его смерти, погребении и воскресении. После того, как мы родились свыше и стали частью тела Христова, Бог видит нас „во Христе”. Поскольку Иисус сделал все это за нас, Бог вменяет нам все, чего Он достиг. Поэтому во Христе мы умерли, были погребены, и воскресли из мертвых в качестве новых творений:

„Неужели не знаете, что все мы, крестившиеся во Христа Иисуса, в смерть Его крестились? Итак мы погреблись с Ним крещением в смерть, дабы, как Христос воскрес из мертвых славою Отца, так и нам ходить в обновленной жизни” (Рим. 6:3-4).

„…быв погребены с Ним в крещении, в Нем вы и совоскресли верою в силу Бога, Который воскресил Его из мертвых” (Кол. 2:12).

Каждый новообращенный должен быть научен этим важным истинам до крещения водой и должен быть крещен как можно быстрее.

Вечеря Господня

Вечеря Господня уходит своими корнями в ветхозаветный праздник Пасхи. В ночь, когда Бог избавил Израиль от египетского рабства, Он повелел, чтобы каждая семья заколола однолетнего агнца и окропила его кровью косяки и пороги своих домов. Когда „ангел смерти” прошел по стране в ту ночь и убил всех первородных в Египте, он видел кровь на домах израильтян и проходил мимо.

В ту ночь израильтяне должны были есть пасхального агнца, а также пресный хлеб в течение последующих семи дней. Израиль должен был праздновать Пасху каждый год в одно и то же время (см. Исх. 12:1-28). Пасхальный агнец был прообразом Христа, и назван „пасхой нашей” в 1 Кор. 5:7.

Когда Иисус совершил вечерю господню, Он вместе с учениками праздновал Пасху. Иисус был распят во время Пасхи, и таким образом в точности исполнил Свое призвание как „Агнец Божий, Который берет на Себя грех мира” (Иоан. 1:29).

Хлеб и сок, которые мы едим и пьем, являются прообразами Его тела, сокрушенного за нас и Его крови, пролитой во оставление наших грехов:

„И когда они ели, Иисус взял хлеб и, благословив, преломил и, раздавая ученикам, сказал: приимите, ядите: сие есть Тело Мое. И, взяв чашу и благодарив, подал им и сказал: пейте из нее все, ибо сие есть Кровь Моя Нового Завета, за многих изливаемая во оставление грехов. Сказываю же вам, что отныне не буду пить от плода сего виноградного до того дня, когда буду пить с вами новое вино в Царстве Отца Моего” (Матф. 26:26-29).

Апостол Павел говорит об этом таким образом:

„Ибо я от Самого Господа принял то, что и вам передал, что Господь Иисус в ту ночь, в которую предан был, взял хлеб и, возблагодарив, преломил и сказал: приимите, ядите, сие есть Тело Мое, за вас ломимое; сие творите в Мое воспоминание. Также и чашу после вечери, и сказал: сия чаша есть новый завет в Моей Крови; сие творите, когда только будете пить, в Мое воспоминание. Ибо всякий раз, когда вы едите хлеб сей и пьете чашу сию, смерть Господню возвещаете, доколе Он придет” (1 Кор. 11:23-26).

Где и как

Писание не говорит о том, как часто надо совершать вечерю господню, но известно, что в ранней церкви она регулярно совершалась по домам в виде полноценной трапезы (см. 1 Кор. 11:20-34). Поскольку вечеря господня уходит корнями в праздник Пасхи и была совершена Иисусом в виде общей трапезы, именно так она и должна праздноваться сегодня. Но большинство церквей по-прежнему придерживаются человеческих традиций.

Вечеря господня должна совершаться с благоговением. Апостол Павел пишет, что недостойное поведение во время вечери господней является серьезным нарушением:

„Посему, кто будет есть хлеб сей или пить чашу Господню недостойно, виновен будет против Тела и Крови Господней. Да испытывает же себя человек, и таким образом пусть ест от хлеба сего и пьет из чаши сей. Ибо, кто ест и пьет недостойно, тот ест и пьет осуждение себе, не рассуждая о Теле Господнем. Оттого многие из вас немощны и больны и немало умирает. Ибо если бы мы судили сами себя, то не были бы судимы. Будучи же судимы, наказываемся от Господа, чтобы не быть осужденными с миром” (1 Кор. 11:27-32).

Нам следует проверять и судить себя перед тем как принять участие в вечере господней, и, при условии обнаружения греха, раскаяться в нем и исповедать его. В противном случае мы оказываемся „виновными против Тела и Крови Господней”.

Из-за того, что Иисус умер и пролил Свою кровь ради нашего освобождения от греха, мы, естественно, вряд ли захотим принимать участие в вечере, если в нашей жизни есть известный нам неисповеданный грех. В противном случае, мы едим и пьем свое осуждение в виде болезни или преждевременной смерти, как это делали коринфяне. Избежать Божьего наказания можно только судя себя, признаваясь в грехе и исповедуя его.

Главным грехом христиан Коринфа был недостаток любви – они ссорились и ругались друг с другом. Отсутствие взаимного уважения проявлялось даже во время вечери, где одни ели, другие оставались голодными, а некоторые даже напивались (см. 1 Кор. 11:20-22).

Хлеб, который мы едим, есть прообраз тела Христова, которым сейчас является церковь. Мы едим один хлеб, что говорит о нашем единстве в теле (см. 1 Кор. 10:17). Жить в конфликтах и дисгармонии с другими членами тела и в то же самое время принимать участие в том, что является прообразом единства, это преступление! Перед тем, как приступить к вечере господней, мы должны удостовериться в том, что наши отношения с братьями и сестрами во Христе приведены в порядок.

Bab Duapuluh-Tiga (Chapter Twenty-Three)

Bab Duapuluh-Tiga (Chapter Twenty-Three) Sakramen (The Sacraments)

 

Yesus memberikan kepada gereja hanya dua sakramen: baptisan air (lihat Matius 28:19) dan Perjamuan Tuhan (lihat 1 Korintus 11:23-26). Pertama-tama, kita pelajari baptisan air. Berdasarkan perjanjian baru, setiap orang percaya harus mengalami tiga baptisan, yakni baptisan ke dalam tubuh Kristus, baptisan air, dan baptisan Roh Kudus. Ketika seseorang dilahirkan kembali, ia otomatis dibaptiskan ke dalam tubuh Kristus, yakni ia menjadi anggota gereja, tubuh Kristus:

Sebab dalam satu Roh kita semua… telah dibaptis menjadi satu tubuh. (1 Korintus 12:13; lihat juga Roma 6:3; Efesus 1:22-23; Kolose 1:18, 24).

Yang dibaptis dalam Roh Kudus adalah pengalaman yang mengikuti keselamatan, dan baptisan ini dapat dan harus diterima oleh setiap orang percaya.

Setiap orang percaya harus dibaptis dalam air segera setelah ia bertobat dan percaya kepada Tuhan Yesus. Baptisan harus jadi tindakan awal bagi ketaatan orang percaya baru:

Lalu Ia [Yesus] berkata kepada mereka: “Pergilah ke seluruh dunia, beritakanlah Injil kepada segala makhluk. Siapa yang percaya dan dibaptis akan diselamatkan, tetapi siapa yang tidak percaya akan dihukum. (Markus 16:15-16, tambahkan penekanan).

Gereja mula-mula menganggap penting perintah Yesus untuk membaptis. Hampir tanpa kecuali, setiap petobat baru dibaptis segera setelah pertobatannya (lihat Kisah Para Rasul 2:37-41; 8:12-16, 36-39; 9:17-19; 10:44-48; 16:31-33; 18:5-8; 19:1-5).

Beberapa Ide yang Tidak Alkitabiah mengenai Baptisan (Some Unscriptural Ideas about Baptism)

Sebagian orang mempraktekkan baptisan dengan memercikan beberapa tetes air kepada petobat baru. Apakah itu benar? Kata kerja yang diterjemahkan membaptiskan dalam Perjanjian Baru adalah bahasa Gerika baptizo, yang berarti “menenggelamkan.” Karena itu, orang yang dibaptis ke dalam air harus diselamkan di bawah air dan tidak dipercik dengan beberapa tetes saja. Simbol baptisan orang Kristen, yang kita akan pelajari, juga mendukung ide baptisan selam.

Sebagian orang mempraktekkan baptisan bayi, namun tak ada contoh baptisan bayi dalam Alkitab. Praktek tersebut berasal dari doktrin sesat “kelahiran kembali dengan baptisan”, yakni ide bahwa seseorang dilahirkan kembali saat ia dibaptis. Alkitab jelas mengajarkan bahwa setiap orang harus pertama-tama percaya kepada Yesus sebelum ia dibaptis. Jadi, anak yang sudah cukup usia untuk bertobat dan mengikuti Yesus memenuhi syarat untuk dibaptis, tetapi bukan bayi dan anak kecil.

Sebagian orang mengajarkan bahwa, walaupun seseorang bisa percaya kepada Yesus, ia tidak diselamatkan sebelum dibaptiskan dalam air. Itu tak benar menurut Alkitab. Dalam Kisah Para Rasul 10:44-48 dan 11:17, seisi rumah Kornelius diselamatkan dan dibaptis dalam Roh Kudus sebelum salah satu dari mereka dibaptis dalam air. Mustahil seseorang dibaptis dalam Roh Kudus jika ia tak diselamatkan lebih dulu (lihat Yohanes 14:17).

Sebagian orang mengajarkan bahwa jika seseorang tidak dibaptis menurut rumusan tertentu, ia benar-benar tidak selamat. Alkitab tidak memberikan ritual khusus yang harus diikuti untuk baptisan yang benar. Misalnya, sebagian orang berkata bahwa orang percaya tidak selamat jika ia sudah dibaptis “dalam nama Bapa, dan Anak, dan Roh Kudus” (Matius 28:19) bukannya “dalam nama Yesus ” (Kisah Para Rasul 8:16). Orang-orang menunjukkan roh yang sama yang mendominasi orang-orang Farisi, yang menyaring seekor lalat dan menelan unta. Mengerikan bila kita saksikan orang-orang Kristen berdebat tentang penggunaan kata-kata yang tepat selama pembaptisan selagi dunia menunggu untuk mendengarkan Injil.

Simbol Baptisan menurut Alkitab (The Scriptural Symbolism of Baptism)

Baptisan air melambangkan beberapa hal yang telah terjadi dalam kehidupan orang percaya baru. Paling sederhana, baptisan melambangkan bahwa dosa-dosa kita telah disucikan, dan kini kita berdiri suci di hadapan Allah. Ketika Ananias dikirim kepada Saulus (Paulus) segera setelah pertobatan Paulus, ia berkata kepada Paulus:

Dan sekarang, mengapa engkau masih ragu-ragu? Bangunlah, berilah dirimu dibaptis dan dosa-dosamu disucikan sambil berseru kepada nama Tuhan! (Kisah Para Rasul 22:16, tambahkan penekanan).

Kedua, baptisan air melambangkan identifikasi kita dengan Kristus dalam kematian, penguburan dan kebangkitanNya. Saat kita dilahirkan kembali dan disatukan dalam tubuh Kristus, sejak itu Allah menganggap kita sebagai ada “di dalam Kristus”. Karena Yesus adalah pengganti kita, Allah memberikan semua yang dilakukan Yesus kepada kita. Jadi “berada dalam Kristus”, kita telah mati, dikuburkan, dan dibangkitkan kembali dari kematian untuk hidup sebagai manusia baru:

Atau tidak tahukah kamu, bahwa kita semua yang telah dibaptis dalam Kristus, telah dibaptis dalam kematian-Nya? Dengan demikian kita telah dikuburkan bersama-sama denganNya oleh baptisan dalam kematian, supaya, sama seperti Kristus telah dibangkitkan dari antara orang mati oleh kemuliaan Bapa, demikian juga kita akan hidup dalam hidup yang baru. (Roma 6:3-4).

Karena denganNya kamu dikuburkan dalam baptisan, dan di dalam Dia kamu turut dibangkitkan juga oleh kepercayaanmu kepada kerja kuasa Allah, yang telah membangkitkan Dia dari orang mati. (Kolose 2:12).

Kebenaran-kebenaran tersebut harus diajarkan kepada setiap orang percaya baru ketika ia dibaptis dalam air, dan ia harus dibaptis segera setelah ia percaya kepada Yesus.

Perjamuan Tuhan (The Lord’s Supper)

Perjamuan Tuhan berasal dari Perayaan Paskah dalam Perjanjian Lama. Pada malam ketika Allah membebaskan Israel dari perbudakan di Mesir, Ia memerintahkan semua keluarga untuk masing-masing mengorbankan seekor domba berumur setahun dan memercikkan darahnya pada palang dan tiang pintu rumah mereka. Saat “malaikat maut” berlalu melalui bangsa itu pada malam itu, dan membunuh anak-anak yang baru lahir di Mesir, malaikat itu akan melihat darah di rumah-rumah orang Israel dan “melewatkannya.”

Lagipula, orang-orang Israel harus merayakan hari raya dengan memakan daging domba Paskah dan juga memakan roti tak beragi selama tujuh hari. Perayaan ini menjadi peraturan permanen bagi Israel, yang dirayakan pada saat yang sama setiap tahun (lihat Keluaran 12:1-28). Jelaslah, anak domba Paskah adalah gambaran Kristus, yang disebut “anak domba Paskah” dalam 1 Korintus 5:7.

Ketika Yesus melembagakan Perjamuan Tuhan, Ia dan murid-muridNya merayakan Pesta Paskah. Yesus disalibkan selama perayaan Paskah, yang sebenarnya memenuhi panggilanNya sebagai “Anak Domba Allah yang menghapus dosa dunia” (Yohanes 1:29).

Roti yang kita makan melambangkan tubuh Yesus yang dipecah-pecahkan untuk kita, dan anggur yang kita minum melambangkan darahNya yang ditumpahkan untuk menghapus dosa-dosa kita:

Dan ketika mereka sedang makan, Yesus mengambil roti, mengucap berkat, memecah-mecahkannya lalu memberikannya kepada murid-muridNya dan berkata: “Ambillah, makanlah, inilah tubuh-Ku.” Sesudah itu Ia mengambil cawan, mengucap syukur lalu memberikannya kepada mereka dan berkata: “Minumlah, kamu semua, dari cawan ini. Sebab inilah darah-Ku, darah perjanjian, yang ditumpahkan bagi banyak orang untuk pengampunan dosa. Akan tetapi Aku berkata kepadamu: mulai dari sekarang Aku tidak akan minum lagi hasil pokok anggur ini sampai pada hari Aku meminumnya, yaitu yang baru, bersama-sama dengan kamu dalam Kerajaan Bapa-Ku.” (Matius 26:26-29).

Rasul Paulus mengisahkan dengan cara berikut:

Sebab apa yang telah kuteruskan kepadamu, telah aku terima dari Tuhan, yaitu bahwa Tuhan Yesus, pada malam waktu Ia diserahkan, mengambil roti dan sesudah itu Ia mengucap syukur atasnya; Ia memecah-mecahkannya dan berkata: “Inilah tubuh-Ku, yang diserahkan bagi kamu; perbuatlah ini menjadi peringatan akan Aku!” Demikian juga Ia mengambil cawan, sesudah makan, lalu berkata: “Cawan ini adalah perjanjian baru yang dimeteraikan oleh darah-Ku; perbuatlah ini, setiap kali kamu meminumnya, menjadi peringatan akan Aku!” Sebab setiap kali kamu makan roti ini dan minum cawan ini, kamu memberitakan kematian Tuhan sampai Ia datang. (1 Korintus 11:23-26).

Kapan dan Bagaimana (When and How)

Alkitab tidak menyatakan berapa kali kita melakukan Perjamuan Tuhan, tetapi jelas pada masa awal gereja, Perjamuan Tuhan dilakukan secara teratur dalam pertemuan-pertemuan gereja rumah sebagai acara jamuan makan penuh (lihat 1 Korintus 11:20-34). Karena memiliki asal-usul dari Jamuan Makan Paskah, maka Perjamuan Tuhan merupakan jamuan makan ketika dilembagakan oleh Yesus, dan dilakukan sebagai jamuan makan oleh gereja mula-mula, seperti yang dipraktekkan kini. Namun banyak gereja masih mengikuti “tradisi-tradisi manusia.”

Kita harus mendekati Perjamuan Tuhan dengan penuh rasa hormat. Rasul Paulus mengajarkan bahwa melakukan Perjamuan Tuhan secara tidak layak adalah tindakan mendatangkan hukuman yang serius:

Jadi barangsiapa dengan cara yang tidak layak makan roti atau minum cawan Tuhan, ia berdosa terhadap tubuh dan darah Tuhan. Karena itu hendaklah tiap-tiap orang menguji dirinya sendiri dan baru sesudah itu ia makan roti dan minum dari cawan itu. Karena barangsiapa makan dan minum tanpa mengakui tubuh Tuhan, ia mendatangkan hukuman atas dirinya. Sebab itu banyak di antara kamu yang lemah dan sakit, dan tidak sedikit yang meninggal. Kalau kita menguji diri kita sendiri, hukuman tidak menimpa kita. Tetapi kalau kita menerima hukuman dari Tuhan, kita dididik, supaya kita tidak akan dihukum bersama-sama dengan dunia. (1 Korintus 11:27-32).

Kita diingatkan untuk menguji dan menilai diri sendiri sebelum ambil bagian dalam Perjamuan Tuhan, dan jika kita menemukan ada dosa, kita perlu bertobat dan mengakuinya. Jika tidak, kita dapat saja “bersalah atas tubuh dan darah Tuhan.”

Karena Yesus mati dan menumpahkan darahNya untuk membebaskan kita dari dosa, kita tentu tidak ingin ambil bagian dalam unsur-unsur Perjamuan Tuhan –sebagai tubuh dan darahNya—bila dosa-dosa tidak diakui. Jika kita ambil bagian dalam unsur-unsur Perjamuan Tuhan, kita dapat makan dan minum penghakiman atas diri kita dalam wujud penyakit dan kematian yang lebih cepat, seperti yang dilakukan oleh orang-orang Kristen di Korintus. Cara menghindari disiplin Allah adalah “menghakimi diri kita sendiri”, yakni mengakui dan bertobat dari dosa-dosa kita.

Dosa utama orang-orang Kristen di Korintus adalah ketiadaan kasih; mereka saling cekcok dan berseteru. Kenyataannya, ketiadaan pertimbangan pikiran oleh orang-orang Kristen di Korintus itu bahkan terwujud selama Perjamuan Tuhan ketika sebagian orang makan, selagi yang lain dalam keadaan lapar, dan sebagian lain bahkan mabuk (lihat 1 Korintus 11:20-22).

Roti yang kita makan melambangkan tubuh Kristus, yang kini adalah gereja. Kita ambil sepotong roti, yang adalah kesatuan kita sebagai satu tubuh (lihat 1 Korintus 10:17). Adalah jahat bila kita ambil bagian dalam hal perlambangan satu tubuh Kristus selagi kita masih bermusuhan dan tidak berdamai dengan anggota-anggota lain dalam tubuh Kristus! Sebelum kita mengikuti Perjamuan Tuhan, kita perlu yakin bahwa kita memiliki hubungan baik dengan saudara-saudara kita dalam Kristus..